Nani Lyrics by Zuchu Nani Lyrics
Read Official Lyrics Of Zuchu's new song titled “Nani by Zuchu Nani Lyrics Of Nani by Zuchu Songs Lyrics.” Another beautiful song that worth a listening pleasure, kindly be the next to read Nani Lyrics by Zuchu and sing along!
He one two one two eh maiki cheki (maiki cheki)
Tunajump jump eh kama kitenesi
Eeh! Kama kalambwanda nda nda kalambwasi
Na kama huna msambwandaa usiingie kati (Ayeee)
Alulue alulueee (Alulue alulueee)
Aah Kama mtu hachezi mzabue (Tumzabue tumzabue)
Sema Alulue alulueee (Alulue alulueee)
Kama mtu hachezi tumtoee (Tumtoe tumtoe)
Eeeh nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
Nasame mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Maftaaa taa mafta taa mafta taaa
Yamemwagika yamemwagika yamemwagikaaa
Mpaka chini mpaka chini mpaka chiniii
Yamemwagika, yamemwagika, yamemwagika
Amina, Amina na Mwajuma
Wanaringa hawa kima
kumbe wanauza… (usiseme hivyo)
Kilode kilode kilodee
Watoto wadogo wanataka nipotee
Haa! labda nifukiwe chini wala wasiwaongopee
Hee! shindo langu mimi mjikusanye wote
Haya sema shkamoo dada (Shkamoo dada)
Shkamoo kaka (Shkamoo kaka)
Mniamkie shkamoo mama (Shkamoo mama)
Shkamoo baba (Shkamoo baba)
Alulue alulueee (Alulue alulueee)
Ukiona hachezi mzabue (Tumzabue tumzabue)
Sema alulue alulueee (Alulue alulueee)
Haa! Kama mtu hachezi Tumtoee(Tumtoe tumtoe
Sema alulue alulue alulue
Kama mtu hachezi tumtoe, Tumtoe, Tumtoe
Eeh nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
Nasema mimi ninaweza kulicheza Sagarumba
Aah twende
Maftaaa taa mafta taa mafta taaa (Yana ninii)
Yamemwagika yamemwagika yamemwagikaaa (Eti mpaka wapi)
Mpaka chini mpaka chini mpaka chiniii (Mamaaa)
Mpaka chini, mpaka chini, mpaka chini
Maamaa!